Duh! Hebu oneni hii!

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,007
09_09_zhus7j.jpg
Mtoto aliyepakiwa katika pikipiki bila kuvalishwa kofia maalum ya kujikinga na madhara ya ajali akiwa amelala wakati chombo hicho cha usafiri kikiwa kwenye mwendo. (Picha na Mroki
 
Mtoto aliyepakiwa katika pikipiki bila kuvalishwa kofia maalum ya kujikinga na madhara ya ajali akiwa amelala wakati chombo hicho cha usafiri kikiwa kwenye mwendo. (Picha na Mroki
Huyu kijana anapaswa atiwe adabu (ashtakiwe kwa mujibu wa sheria) kwa kuhatarisha maisha ya huyu bint.

Hii ni hatari sana...!
 
Yani yeye kavaa helmet na mtoto kamuachia kichwa kikiwa exposed? Huyu mtu hana akili kabisa.
 
Unajuwa mwana, jamaa alipaswa kutiwa bakora haswaa...!

Hapo juu umesema ashtakiwe kwa mujibu wa sheria japokuwa hujasema kwa sheria ipi, halafu tena achapwe bakora, two wrongs can not make a right!
 
Hapo hakuna aliyevaa helmet. Ninungana na wenzangu kwamba hapo kwenye hiyo pikipiki angeshushwa halafu alambwe bakora sita na mbili akamwonyeshe mkewe nyumbani.
 
hilo shati lilivojaa upepo inaoneka yupo kwenye mwendo juu ya lami huyo...
namba ya pikipiki hiyo hapo, polisi mpo?
 
Ni umasikini tu wanungwana msimlaumu na pia kutokuelewa kwanini yeye na abiria wanatakiwa wavae kofia maalumu. Hivyo miye binafsi nadhani anatakiwa aelimishwe vizuri (na labda kwa mifano hai-DVDs) kwani akishaelewa atawaelimisha wenzake pia. Bakora tupu au kufikishwa mahakamani na labda kufungwa hakutamnufaisha huyo bwana, binti yake na hata taifa.
 
Huyo jamaa kwenye picha, wala si wa kumtetea, kwani hiyo leseni yake alihipataje bila kujuwa sheria za barabarani... kwani hakufanyiwa majaribio kabla..!?
 
eeeeeeeeeeeeeeh nimeona hiyo picha karibia utumbo utoke ,jamani hii ni hatari sana
imagine mtoto hapo kauchapa usingizi wa kufa mtu mala anamuachia Dereva na kuanguka barabarani wakati huo kuna magari yanakuja

no we must follow safety procedure kila mahari
 
Mkuu hii ni Bongo tena Nyerere road ni Banda la ngozi pale.
Hapa si bure nadhani Trafic wanasubiri ajali mbaya itokee ili waunde TUME ya kuichunguza ajali hiyo. Maana Haiwezekani wamwachie huyu bwana akatize barabarani akiwa amempakia huyu mtoto katika hali hatarishi kama hivi.Ee MUNGU EPUSHA AJALI HII
 
Back
Top Bottom