...Mh!! huyu nadhani yuko somalia kusikokuwa na serikali maana hata kama askari wetu wa bongo wamezubaa kiasi gani huyu hawezi kuachiwa huu unaitwa mtungo/mshikaki wa kufa mtu!!Duh!! noma, ubunifu wa bongo
aaah mama wa kwanza ungeyaona haya?stress za bongo hata wangekupita kumi wala usingejali ungeona kawaida tu,hapo hata trafiki hamuoni anajua mchovu tu hata akimkamata hata buku haambulii ataishia kupigwa kiswahili kiiingi.no mtoto jamani hana kosa hivo hako kabinti oneni na vibuti vyake kichwani katakumbuka kumwambia naomba helmet ,bado kana akili za kitoto jamani mpaka soksi kamevalishwa na gauni kauhurumieni muuaji ni huyo jamaa ambaye anaendesha pikipiki bila kujua hatari na madhara yake yaani ningekuwa maeneo haya ningekuwa wa kwanza kumpeleka polise na mbaya zaidi namba zake hata ukienda report police sijui kama atapatikana