DUH: Hapa kazi tu nchini tanzania

The Citizen
20 hrs ·
Police in Kibiti District are holding two people including a witchdoctor after finding them with a human skull [HASHTAG]#TheCitizenToday[/HASHTAG]

Tanzania bwana. ushirikini na nyie ni kitu kimoja. Kuaa na kula albino hamshindwi na haya ya kibiti hadi hapa kenya na mabango yenu ya waganga marufu tokea tanzania kuzagaa mijini!!!!
Maswala ya imani za kishirikina hata Africa nzima yapo tuseme tu wewe umechagua mojawapo tena kwa lengo la kuchafua.Na kwa habari nzuri ni kwamba hao waganga hawana ubaguzi hata wewe ukienda wanakuhudumia
[HASHTAG]#uchawi[/HASHTAG] uache na wewe.
 
mie uko siendi, watoto wasio na hatia albino wanakufa mikononi ya hawa mabwege na watanzania wenye kuamini uchawi kama wewe!!
 
The Citizen
Tanzania bwana. ushirikini na nyie ni kitu kimoja. Kuaa na kula albino hamshindwi na haya ya kibiti hadi hapa kenya na mabango yenu ya waganga marufu tokea tanzania kuzagaa mijini!!!!

Hakuna Binadamu mwenye akili hata za kawaida anayeweza kuandika ulivyoandika, kumbuka watu wenye wenye ulemavu wa ngozi ni Binadamu kama wewe na mimi na hawana kosa lolote kuzaliwa hivyo, hivyo wewe kuleta utani na mzaha kwenye jambo kama hili ni beyond imagination!
 
Povu ya nini, ukweli unang'ata.....maumivu
The Citizen
20 hrs ·
Police in Kibiti District are holding two people including a witchdoctor after finding them with a human skull [HASHTAG]#TheCitizenToday[/HASHTAG]

Tanzania bwana. ushirikini na nyie ni kitu kimoja. Kuaa na kula albino hamshindwi na haya ya kibiti hadi hapa kenya na mabango yenu ya waganga marufu tokea tanzania kuzagaa mijini!!!!
 
Wamemkamata Mshana Jr duh!
cc8014d5811ed209c916ea8327d0df45.jpg
Ni utani. Nothing serious!
 
The Citizen
20 hrs ·
Police in Kibiti District are holding two people including a witchdoctor after finding them with a human skull [HASHTAG]#TheCitizenToday[/HASHTAG]

Tanzania bwana. ushirikini na nyie ni kitu kimoja. Kuaa na kula albino hamshindwi na haya ya kibiti hadi hapa kenya na mabango yenu ya waganga marufu tokea tanzania kuzagaa mijini!!!!
Kama kukutwa na fuvu la binadamu ushirikina basi wazungu wangeongoza kwa ushirikina.

stock-photo-young-crime-scene-investigation-doctor-exam-human-skull-for-some-clue-11795035.jpg

In case watakuwa wamekosea kufuata taratibu za kumiliki. Njaa na utapeli wao umewaponza.
 
Mimi hudhania imani kama hizi ni ukosefu wa elimu,yaani ushenzi tu!.....hahaha!..yaani fuvu la mtu na imani wapi na wapi?
 
Kama kukutwa na fuvu la binadamu ushirikina basi wazungu wangeongoza kwa ushirikina.

View attachment 504466

In case watakuwa wamekosea kufuata taratibu za kumiliki. Njaa na utapeli wao umewaponza.
The Citizen
20 hrs ·
Police in Kibiti District are holding two people including a witchdoctor after finding them with a human skull [HASHTAG]#TheCitizenToday[/HASHTAG]

compare and contrast!!!!!! watanzania bwana....1!!!!
Kama kukutwa na fuvu la binadamu ushirikina basi wazungu wangeongoza kwa ushirikina.

stock-photo-young-crime-scene-investigation-doctor-exam-human-skull-for-some-clue-11795035-jpg.504466

In case watakuwa wamekosea kufuata taratibu za kumiliki. Njaa na utapeli wao umewaponza
 
Back
Top Bottom