Duh! Fastjet kiboko dk 45 kumbwani

hahaha, kwani mara ya mwisho kukwea pipa ilikuwaje?
siku hizi kama unatoka mbeya na jogoo lako umelipakata, ukitaka supu wanakuonyesha jikoni unapika kabisa. ila ubebe kisu cha kuchinjia manake wana vya plastic tu.

cc Jerrymsigwa
Naomba kuuliza jmn, hvi kwenye ndege naruhusiwa kutembea tembea hv au kusimama ikiwa inaenda

Just like the old days
 
Last edited by a moderator:

Ukinambia kukwea pipa mimi nawaza vingine kabisaa.

Duuh hayo yote yanafanyika ndani ya dk 45? 🙂 😀
 
hehehe, una mawazo mduara sana mkuu.
yanawezekana. wana presha kuka😛hoto:
ila usije na jogoo lenye umri wa kuanza shule
Ukinambia kukwea pipa mimi nawaza vingine kabisaa.

Duuh hayo yote yanafanyika ndani ya dk 45? 🙂 😀
 
hahaha, kwani mara ya mwisho kukwea pipa ilikuwaje?
siku hizi kama unatoka mbeya na jogoo lako umelipakata, ukitaka supu wanakuonyesha jikoni unapika kabisa. ila ubebe kisu cha kuchinjia manake wana vya plastic tu.

cc Jerrymsigwa

hakunaga shida King'asti na fastjet pouwa hata ukiamua kubeba maparachichi na mafufu yanafika salama kabisa wakati zaman ilikuwa mtepeto
 
Last edited by a moderator:
hahahah hahaha leo nimecheka jamani.

hivi we dada unaishi wapi?
napenda sana comments zako na yule. miss chagga wa kishimundu moshi
ha ha haha karibu kishumundu uje ule ndizi mkuu...naona mleta mada anasifia ndege mimi naogopa inaweza potea huko juu amna trafic light wala alama mimi bora nipande basi nione hilooo hapa wami hilooo hapa mombo nile mbuzi choma nione hilooo mara same ndo naenjoy.... ila nitapanda siku moja hilo likitu
 
Hawa jamaa nauli hufanya bei gani hadi mbeya?
 
Nimeipenda hiyo sentensi "nimeamini tafuta ela uitumie na maisha mazuri yakuzoee"!
 
ha ha ha mecheka hadi basi!!
 
Naomba kuuliza jmn, hvi kwenye ndege naruhusiwa kutembea tembea hv au kusimama ikiwa inaenda

Just like the old days

ha ha ha ! Mi niliomba kukaa dirishani ili nichungulie nje!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…