yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,778
- 1,222
kwa sababu natokea 'intilia' kidogo (santilia) ilinichukua kama siku mbili kupata booking safari ya ndege. nikitokea uwanja wa songwe mbalizi mbeya safari yangu ya angani ilinichukua takriban dk 45 tu ukiachia rabsha za hapa na pale japo ni gharama lakin uwazi kuchimba dawa wala kula njiani labda uhuru tu wa kuwapungia mikono wasindikizaji na kutembea ovyo ndani hakika nineinjoi baada kufika NIA dar nilijiona mwepesi na tafakuri nyingi kichwani kwamba ni kweli nimefika au naota, nimezoea tren ya tazara zaidi siku 2 kusafiri njian its so amazing lol ilinichukua karibu masaa 8 kuwafakia wenyeji wangu nao walishangaa wala hawakuamin kama nimekuja na ndege kumbe niliminya sehemu nagonga viloba ili akili ikae sawia nimeamini tafuta ela uitmie na maisha mazuri yakuzoee