Yaani kama ulikuwa una mpango wa kumtokea, sahau! A real man will furukuta aisee. And a lady will bembeleza u to be calm. Mekula kwako aisee.
Pole za huyo mdada! Ni kweli alichosema Mentor ukiwa na mdada ni ngumu ila kama ni masela kingenuka.
duh,pole sana Mentor, shukuru Mungu hawakuwafededa make na vile hamkuwa na hela mbona pangekuwa hapatoshi leo!!!!!
mweee....pole sana....sasa huyo dada kakuonaje...? ina maana hujafurukuta hata kidogo...?
kweli mpe pole sana,
jaribu kuimagine ni saa mbili,
uko na huyo boy friend wako anakusindikiza
wanatokea vibaka inakuwa kama hivyo ungefanyaje,
kwa kweli mimi ndo ingekuwa mwisho wangu mimi na yeye
kwa kuwa ameshindwa kunilinda, samahani Mentor ni maoni tu.