Maisha ni kama kioo ukicheka nayo yanakuchekaLeo kwenye ibada ya Kawe kanisani kwa Mwamposa jamaa kaonekana kwenye TV akitubishwa.
Ni hatua njema kwa Godfrey Tumaini.View attachment 2838963
Sent using Jamii Forums mobile app
Vina muda basi huyo mwamposa akiacha kumpa hela,jamaa anaropoka yoteLeo kwenye ibada ya Kawe kanisani kwa Mwamposa jamaa kaonekana kwenye TV akitubishwa.
Ni hatua njema kwa Godfrey Tumaini.View attachment 2838963
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania Distilleries Limited a.k.a konyagiTDL imepoteza mteja mwandamizi.
Aishikilie neema hiyo hadi mwisho. Isiwe Kiki tu.
Bado uko apo marumba nije kuliungaNilikutana nae marumba bar kakola anamix konyagi na safari lager 😃😃
Kwa hiyo sasa amekuwa "Dudu Zuri" au????Leo kwenye ibada ya Kawe kanisani kwa Mwamposa jamaa kaonekana kwenye TV akitubishwa.
Ni hatua njema kwa Godfrey Tumaini.View attachment 2838963
Sent using Jamii Forums mobile app
No sio kweli, Dudubaya kaokoka kwa sababu anaumwa sanaKiki tu
Mwamposa ni lini anatubisha watu zaidi ya kuwaibia pesa zao kwa kutumia wese, mchanga na keki?
Kwakuwa Dudubaya ni maarufu kajifanya kumtubisha.
Naamini hapa haikuwa toba ni mchezo tu. Dudubaya ana mawenge njaa zimemkaba anatafuta kujinasua while Mwamposa anatafuta wajinga awanyoe
Ila kuna watu wanamchezea Mungu sana.KWA MUNGU ASIEJULIKANA
SafiLeo kwenye ibada ya Kawe kanisani kwa Mwamposa jamaa kaonekana kwenye TV akitubishwa.
Ni hatua njema kwa Godfrey Tumaini.View attachment 2838963
Sent using Jamii Forums mobile app