Msanii dudu baya aka konki konki konki master amefunguka kuhusu issue ya menina na mwijaku uliyotoa baada video chafu ya wasanii hao kuvuja hiv karibu amesema Kama ifuatavyo " hiv vitendo vimezidi kukuwa kwa Kasi kwa sababau basata imekuwa sehemu ya kulea Huu upuuzi hiv vitu vya kuvujisha video za ngono zinafanywa maksudi ili muhusika kupata soko lakini pia kuongeza umaarufu kwa kupata followers wengi ili kukomosha hili suala BASATA wanatakiwa kuwafungia mwaka mzima wahusika wanaofanya ngono wasifanye shughuri za sanaa na kuwakataza kutohojiwa na chombo chochote Cha habari kwa kipindi chote Cha huo mwaka na kutozwa kiasi Fulani Cha fedha alafu tuone watafanya huo upuuzi? Lakini Kama BASATA wataendelea na utaratibu Huu wanaofanya sasa basi tutarajie hiv vitendo vya kuvujisha video vitazidi kuendelea"