Dudu baya anazidi kufilisika kiakili

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,868
6,480
Huyu mtu nashindwa kuelewa anakoelekea ni wapi sijui, maana kadiri siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwa mtu asiye na busara hata kidogo, sijui ni mapombe ama bhange ndio zinamfanya kuwa hivi maana kutwa kupost clips IG za kipuuzi tu

Hivi kweli kawa nani mpaka anafikia hatua ya kutukana kabila la watu (wahaya) kuwa ni wachafu, kaenda mbali zaidi mpaka anawaita ni mbwa wenye kifafa..

Watu walio karibu na huyu mtu wamshauri tu kuwa kiki zisizo na maana zishapitwa na wakati.. Afanye kazi aachane na huu ujinga kabisa.
Screenshot_20190505-114232.jpeg
 
Binafsi nimemdharau huyu babu na ninahisi anajiona mjanja. fulani na huo ujanja nahisi anaweza kuwa karithi kwa marehemu babu yake.
 
Tatizo akishamsifia mkuu wa kaya watu wanapata kigugumizi cha kumkamata na lenyewe limeshakuwa janjajanja
Jinga mno, huwezi ishi maisha ya kila siku kwenye mitandao kwani ni lazima aposti ndipo aishi?
 
Binafsi nimemdharau huyu babu na ninahisi anajiona mjanja. fulani na huo ujanja nahisi anaweza kuwa karithi kwa marehemu babu yake.
hana anachokijua, anakomaa kujipendekeza kwa dia anazani atapewa tour!
 
Kashakua mtumwa wa kiki aisee, akiongelewa ndo anajisikia amani😂😂 ...sema anazeeka vibaya huyu babu 😸😸
 
Alitaka awaharibie wcb ndio wakamwonga wimbo wa konki akitoka basi, ikibuma atulie na kweli ilibuma ametulia anadili na wengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom