Dude la maajabu

Dude la maajabu

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,624
Reaction score
1,826
nani akumbuka hii kitu.kipindi hyo inatamba
13ebe79cb1fe168e5f50fb925be092dd.jpg
 
kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe, dude la maajabu na simu ya mkononi wapi na wapi ?
 
Mi nilijua gegedio kumbe ni mwl nina swali.
 
nani akumbuka hii kitu.kipindi hyo inatamba
13ebe79cb1fe168e5f50fb925be092dd.jpg


Kuna watu walizaliwa kutokana na wanaume kumiliki hiki chombo, by then mtu akimiliki hii aliweza kuwa na nyumba ndogo kila kona ya jiji
 
hii simu dingi alikua akinipa nilamuwekee dollah.ilikua na pochi yake nitaichomeka kiunoni hapa kwa mademu mosele.ila nashukuru sikuwala wengi sana kama 18 hivi
 
Back
Top Bottom