Dubai yatangaza wakenya wenye degree tu kuingia Dubai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dubai yatangaza wakenya wenye degree tu kuingia Dubai

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 27, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,505
  Likes Received: 5,737
  Trophy Points: 280
  Swala la maofisa wa kenya kuwakamata baadhi ya wanafamilia
  wa emirates imeingia katika hatua mpya baada ya uongozi wa emirato
  kutuma waraka unaoonyesha wakenya watakaoruhussiwa kuingia dubai ni wale
  wenye degree zao tu na tena waje na certificate origin ..warak huo umeshtua na waziri wa kenya akishirikiana na baadhi ya viongozi wa immigration
  kunyanyuka na pipa leo kuelekea dubai kusuluhisha..natumaini walichukua vyeti
  vyao maana sheria inaanza leo....
  Baadhi ya wakenya walioulizwa walidai sie atuna shida wao ndio wanataraji watu wengi kutoka nje so kama wanaona vipi poa wakae kivyao na si kivyetu.,mwingine alisema unajua watu wengi wa emirates proff wanatokea nje ya nchi yao,mi nawafanyiaaaga kazi ya kutafuta wafanyakazi zaidi ya mia kila miezi sita...............................................................jamani nimesikia kwenye bbc jion hii mmh mwili ulisisimka nkasema mungu asaidie isije tanzania hiyo shweria.....madada zetu wale waliojazwa na mapredeshe sijui watanunulia wapi mizigo yao....nshatema mate chini


  mungu tusaidie tanzania
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mkiwagusa wale wamanga wa loliondo, wanatwaje vile? Obc? Basi mjue hayo ndiyo yatawatokea. Ni namna ya kutunishiana misuri kuona nani zaidi.
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wabongo tukiwekewa hii basi wafanyabiashara wengi itakuwa pigo kwao maana most of them are shuleless
   
 4. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,884
  Likes Received: 20,962
  Trophy Points: 280
  kwani dubai ndio sehemu pekee duniani kwa wafanyabiashara wa TZ?Mi nilifikiri wengi wanakwenda china,malaysia,hong kong etc
   
Loading...