ni kama fog ama ukungu,kwahiyo kuingia ndani lazima kama madirisha yako wazi.mara nyingi hizi picha wanacapture asubuhi ,jua likiwaka huwezi pata view kama hiyo.
Unajua photoshop kama ya kufika huku zilipitia hapo mkuu!Nauliza hivi....hayo mawingu hayawezi kuingia ndani?
Unajua photoshop kama ya kufika huku zilipitia hapo mkuu!