Dubai kuna wana JF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dubai kuna wana JF?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rakeyescarl, Sep 29, 2010.

 1. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Salaam,
  Wana JF mlio Dubai au wenye uenyeji na Dubai naomba msaada ufuatao.
  1.Naomba kama mtu anaweza kunieleza contacts za hotel ya kati ya US$ 30-50/single/BB-prefarable karibu na Deira au Nasr square.
  2.Kama anaweza kunifanyia booking ya 02.October.2010 from 0500 am -2 days(kama ni bigudha sio muhimu)
  3.Kama anaweza kunieleza naweza kununua wapi nguo zenye quality za kuvaa TZ kwa bei nafuu-si za baishara kwa ajili ya zawadi za kina baba,watoto na mama.
  Hata akiniambia jinsi ya kufika kwenye hayo maduka au namba za simu yatosha ,nitashukuru,kama atakuwa na muda ataweza kunitafuta tukanywa kahawa akiwa na muda jioni.
  Rakey.
   
 2. C

  Chamkoroma Senior Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu napenda kukukaribisha sn Dubai mimi nipo hapa kama miaka 4 ss , hotel ambayo ni kama dola ambazo umezisema zipo hasa dola 50 mojawapo ni Goldplaza, ukiwa tayafi basi nipigie cm yangu ni 0971504658758 , ukija au ukiwa tayari basi nitafute ndiyo mwanzo wakufahamiana, madukani utafika pia, samhani nimechelewa kupata ujumbe huu, ningejibu mapema.
  kwa majina tutafahamiana kwa cm kama unavyojuwa tupo kwa kufanikisha malengo ya kulikomboa Taifa letu
   
 3. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nawatakia amani, na mafanikio mema. Thanx for jamii founders
   
 4. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Hapo hapo Deira kuna maduka kibao ya nguo na vitu vingine, na hoteli za kupanga ni nyingi.
   
Loading...