Sasa kama muislamu uko North pole unafanya research na jua halizami kwa Ramadhan yote utafanyaje hapa?
BBC News - Dubai Burj Khalifa: Ramadan fast 'lasts longer high up'
View attachment 34993
A drawback of the high-life?
Continue reading the main story[h=2]Related Stories[/h]
Muslims living in the world's tallest building, the Burj Khalifa, should fast longer during the Ramadan holy month, Dubai's leading clerics have said.
During Ramadan, Muslims are supposed to not eat or drink between dawn and dusk.
"Burj Khalifa is almost one km (0.6 miles) high, which means people in higher floors can still see the sun after it has set on the ground," Ahmed Abdul Aziz al-Haddad told Reuters.
He said they should break their fast two minutes after those on the ground.
Another Dubai cleric, Mohammed al-Qubaisi, has been quoted as saying that people living above the 80th floor should fast for an extra two minutes, while those on the 150th floor and higher should wait for three more minutes before eating or drinking.
The 828m- (2,716ft-) high Burj Khalifa has 160 floors and was opened in 2010.
The clerics say there are ancient precedents in Islamic law.
Mr Qubaisi said that under such rulings, people living on mountains should also break their fast after those at ground level.
Ramadan began last week.
Hakuna walipotaja North au South pole.Mkuu Kiranga hayo mambo yamejibiwa na wanazuoni wa kiislamu
Kwanza si umetaka hukmu ya wao watafunga na kufungua vipi kwa kile kigezo cha jua?Hakuna walipotaja North au South pole.
Kuna siku zina giza masaa 24 jua halionekani, au zina jua masaa 24 jua linachomoza huko.
Sasa ikiwa hivyo, kufunga kwa kuangalia jua huko itakuwaje?
Kuna base ya scientific research South Pole huko.
Kama mwanasayansi wa Kiislamu yuko huko atafunga vipi?
Ndiyo hiyo ninayoiongelea mpaka huko South na North pole ambako kuna siku zina jua la masaa 24 na usiku wa masaa 24.Kwanza si umetaka hukmu ya wao watafunga na kufungua vipi kwa kile kigezo cha jua?
Ama hilo sio swali lako kuu ulilokusudia mkuu?
Umeelewa kweli ndugu!?yani hapo ikifika ramadhan unahamia ghorofa za juu ili kufuturu mapeeeema[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeelewa kweli ndugu!?
Lugha mkuuAelewe wapi yeye kaandika lililomjia kichwani mwake
Yes nimekuelewa.Ndiyo hiyo ninayoiongelea mpaka huko South na North pole ambako kuna siku zina jua la masaa 24 na usiku wa masaa 24.
Ushaelewa?
Naam.Yes nimekuelewa.
Kwa maana ulitaka ujue funga zao watafungua kwa kigezo gani ama sivyo mkuu?
Ahahhhahahaha sasa nimekusoma swali lako.Naam.
Siku ya jua kuchomoza na kuangaza kwa saa 24 watafanyaje?
Mara paap, Muislam kaenda kufanya scientific research South Pole (kuna scientific base ya kimataifa huko). Ramadhan imeangukia siku moja jua lawaka saa 24.
Atafanyaje?
Mkuu kuna baadhi ya fatwa nilizipitia za wanazuoni nyakati fulani nikaona wamegawa makundi mawili.Naam.
Siku ya jua kuchomoza na kuangaza kwa saa 24 watafanyaje?
Mara paap, Muislam kaenda kufanya scientific research South Pole (kuna scientific base ya kimataifa huko). Ramadhan imeangukia siku moja jua lawaka saa 24.
Atafanyaje?
Huko kugawanyika tu kunaonesha habari nzima imetungwa na watu.Mkuu kuna baadhi ya fatwa nilizipitia za wanazuoni nyakati fulani nikaona wamegawa makundi mawili.
Kuna ambao wanasema wafuate nyakati za saudi arebia,kwa maana saudia wakifunga na kufungua na wao wafuate huko huko.
Alafu pia kuna wanaosema kwamba wafuate nyakati za nchi zao za jirani wanafungua vipi nao watafungua kwa kufuata nyakati za nchi jirani.
Kwa maana nyingine kwamba wanatakiwa wakadirie muda kama ambavyo wanatakiwa wakadirie muda wa kusali zile sala tano.
Kwa sababu kuna athari ilionekana kutoka kwa Mtume alisema..
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliwaambia Maswahaba wake wake kuhusu Dajjaal. Akaulizwa ni muda gani atakuwa juu ya ardhi, akasema, “Siku arobaini, siku moja itakuwa kama mwaka, siku moja itakuwa kama mwezi, siku itakuwa kama wiki na zinazobaki itakuwa kama siku zenu.” Kukasemwa, “Ee Mtume wa Allaah, siku ambayo itakuwa ni kama mwaka, je, swalah ya siku moja itatutosheleza juu yetu [kwa hiyo siku moja]?” Akasema, ”Hapana, mtu atazikadiria.”
Kwa maana suala hilo la siku kuwa ndefu ni suala ambalo sio la kawaida hivyo nyakati za sala zitakadiriwa kwa uzoefu wa yale masiku ya kawaida.
Dada mdogo unaendeleaje?