englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Wow..nataka nikatembee nchi hio inshallah panapo majaaliwa!
Itabidi tuplan shost kwani we hujawahi kufika pia?Tutaenda pamoja bi shosti kwa raha zetu
Uwezo mnao lakini? au uamuzi wa ufisadi?hata sisi tukiamua tunaweza.
Nalog off
dats called progress
vyote vyote kaka uwezo tunao lakini ndio tunawategemea mafisadi watuamulie nini cha kukifanya.Uwezo mnao lakini? au uamuzi wa ufisadi?
Na nchi ikitegemea Mafisadi ndio waongoze nchi basi hiyo nchi itakuwa masikini maisha yake yote Nalog On.vyote vyote kaka uwezo tunao lakini ndio tunawategemea mafisadi watuamulie nini cha kukifanya.
Nalog off
Sasa tuwa westgate shopping hawa mafisadi au?Na nchi ikitegemea Mafisadi ndio waongoze nchi basi hiyo nchi itakuwa masikini maisha yake yote Nalog On.
Hakuna mambo ya Westgate Mafisadi waondolewe kwenye uchaguzi huru tu njia bora na ni sahihi kabisa. Nalog On......Sasa tuwa westgate shopping hawa mafisadi au?
Nalog off
Wow..nataka nikatembee nchi hio inshallah panapo majaaliwa!
Dah! njia hii ya KULA,itachukua miaka mingi sana kwa kweli kwa maana hawa jamaa wana fedhwa na mizizi yao bado mibichi inaendelea kuingia chini zaidi,in short hatuwawezi au una njia ambayo inaweza kutusaidia?Hakuna mambo ya Westgate Mafisadi waondolewe kwenye uchaguzi huru tu njia bora na ni sahihi kabisa. Nalog On......
Njia ingine ni kumuomba Mungu Makanisani na Misikitini ndio njia kuu ya Wanyonge. Nalog On....Dah! njia hii ya KULA,itachukua miaka mingi sana kwa kweli kwa maana hawa jamaa wana fedhwa na mizizi yao bado mibichi inaendelea kuingia chini zaidi,in short hatuwawezi au una njia ambayo inaweza kutusaidia?
Nalog off
Hutakiwi uwe mnyonge katika maisha,halafu M/mungu ana kazi nyingi sana za kufanya hizi nyengine inabidi tumsaidie sisi wenyewe kwa kuchukua uamuzi ulio sahihi.Njia ingine ni kumuomba Mungu Makanisani na Misikitini ndio njia kuu ya Wanyonge. Nalog On....
Mwenyeezi Mungu ametuambia tumuombe ili apate kutupa. Jambo lako lolote lile la kimaisha ukishindwaHutakiwi uwe mnyonge katika maisha,halafu M/mungu ana kazi nyingi sana za kufanya hizi nyengine inabidi tumsaidie sisi wenyewe kwa kuchukua uamuzi ulio sahihi.
Nalog off
Ni kweli kaka ila inabidi tumrahisishie maana watu ni wengi wanaohitaji msaada kutoka kwake,swala dogo kama hili la mafisadi ni sisi raia kuamua tu kwamba tumechoka hatutaki,ndani ya siku moja tu inawezekana kuwa vile tunavyotaka,Mungu yuko pamoja na kundi.Mwenyeezi Mungu ametuambia tumuombe ili apate kutupa. Jambo lako lolote lile la kimaisha ukishindwa
kulitatuwa basi Muombe yeye Mwenyeezi Mungu atakupa haraka iwezekanavyo wala hachoki Mwenyeezi Mungu kuwapa
viumbe wake Wanaye Muomba. Huyo Mungu mwenye kazi nyingi ashindwe kukupa wewe aliyekuumba mja wake unayoyataka? Basi
atakuwa huyo sio Mungu bali ni mungu feki. Nalog On.
Swala la Ufisadi,Rushwa,Uongozi mbovu,Madawa ya Kulevya, Umasikini,Maradhi,Ujambazi na Elimu duniNi kweli kaka ila inabidi tumrahisishie maana watu ni wengi wanaohitaji msaada kutoka kwake,swala dogo kama hili la mafisadi ni sisi raia kuamua tu kwamba tumechoka hatutaki,ndani ya siku moja tu inawezekana kuwa vile tunavyotaka,Mungu yuko pamoja na kundi.
Nalog off
Swala la Ufisadi,Rushwa,Uongozi mbovu,Madawa ya Kulevya, Umasikini,Maradhi,Ujambazi na Elimu duni
ndivyo hivyo vitu vinavyoifanya Tanzania kutoendelea kabisa na havitokwisha mpaka upatikane Uongozi bora na sio rahisi
kupatikana uongozi bora hapo Tanzania. Nalog On........
Hutakiwi uwe mnyonge katika maisha,halafu M/mungu ana kazi nyingi sana za kufanya hizi nyengine inabidi tumsaidie sisi wenyewe kwa kuchukua uamuzi ulio sahihi.
Nalog off