Dual citizenship! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dual citizenship!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Aug 11, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi kwa nchi hii suala la dual citizenship linawezekana?.Kama linawezekana nitashukuru kwani hivi sasa ninajifua kujua lugha ya kifaransa,nataka kusogea hapo Rwanda kwa Kagame,naona life la hapa TZ pasua kichwa.
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mjomba sikujua ya kuwa hata wewe uko kwenye lile kundi dogo linaloikamua nchi hii na sasa linajenga hoja ya uraia wa nchi mbili kwa lengo la kujijengea mazingira mazuri ya kufuraia utajiri wao huko ughaibuni.
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa kagame kukopoa na mimi ndo nishaanza kuzoea maisha ya Juba sudan..
   
Loading...