nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
Hio ilikuwa June 2010. Alidanganya huyo. Angalia wakenya walipo, mwakani wakenya milioni tatu wanaoishi ughaibuni watashiriki uchaguzi mkuu. Wabongo maneno ipo mingi hakuna vitendo zaidi ya kudanganyana tu.
Wakenya walikuwa na Dual Citizenship long time ago wakati wa Utawala wa Mzee Jomo Kenyatta;