Dua zenu jamani, my sister anaumwa Dengue

Dua zenu jamani, my sister anaumwa Dengue

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
wana jf my sista yu ngonjwa ...dua zenu ...huu ugonjwa wa dengu ni hatari sana...mungu atunusuru aisee...toka asubuh mpka muda huu niko mwananyamala hosp...
 
Pole sana mkuu katika wakati huu mgumu
 
Pole ndugu. Mungu ni mwema atapona kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI. Amen..!
 
pole mkuu, hivi dalili zake zikoje?
 
wana jf my sista yu ngonjwa ...dua zenu ...huu ugonjwa wa dengu ni hatari sana...mungu atunusuru aisee...toka asubuh mpka muda huu niko mwananyamala hosp...

Naomba unifahamishe dalili zake kma unavyomwona sista wako kijana na kama kuna tiba
 
Back
Top Bottom