Dua zenu jamani, my sister anaumwa Dengue

Dua zenu jamani, my sister anaumwa Dengue

Naomba unifahamishe dalili zake kma unavyomwona sista wako kijana na kama kuna tiba

dalili zake ni kupata homa isiyogundulika chanzo chake , kichwa kuuma , viungo kuuma, kutapika na wakati mwingine kuharisha, kupungukiwa na maji mwilini na ikiwa katika hatua mbaya sana kutokwa na damu sehemu mbalimbali ya mwili ikiwemo kwenye vinyweleo.

kwa hatua za mwanzo na kati Tiba yake ni kula vizuri , kunywa maji mengi sana, kunywa juisi kwa wingi halafu kila homa ikipanda unameza dawa ya kushusha homa kama paracetamol......

hatua za mwishoni ni lazima kulazwa hospitali.
 
wana jf my sista yu ngonjwa ...dua zenu ...huu ugonjwa wa dengu ni hatari sana...mungu atunusuru aisee...toka asubuh mpka muda huu niko mwananyamala hosp...

Dawa yake ni majani ya mpapai na asali walipost topic jf doctor na video ya jinsi ya kutengeneza .yaponde majani mabichi ya mpapai au saga kwenye brenda,kamua maji kisha changanya vijiko viwili vya asali mpe vijiko vitatu,kwa utaratibu wa kunywa mara ngapi sikuelewa google utapata majibu
 
mpe pole sana,huo ugonjwa ni hatari sana usije ukathubutu kumpa dicloper au diclofenac ni hatari sana hizo dawa zinaweza kumpoteza mtu wa ugonjwa huo haraka dawa yake ya haraka ni panadol
 
Poleni sana,Mungu mponyaji na amponye,amrudishie afya yake mara dufu.
 
dalili zake ni kupata homa isiyogundulika chanzo chake , kichwa kuuma , viungo kuuma, kutapika na wakati mwingine kuharisha, kupungukiwa na maji mwilini na ikiwa katika hatua mbaya sana kutokwa na damu sehemu mbalimbali ya mwili ikiwemo kwenye vinyweleo.

kwa hatua za mwanzo na kati Tiba yake ni kula vizuri , kunywa maji mengi sana, kunywa juisi kwa wingi halafu kila homa ikipanda unameza dawa ya kushusha homa kama paracetamol......

hatua za mwishoni ni lazima kulazwa hospitali.

Mkuu paracetamol si utaua?maana nimesikia hupaswi kumeza paracetamol, diclofenac wala diclopar, bali umeze panadol.
 
Back
Top Bottom