We jamaa sijui utakua lini? Umeshindwa kabisa kutumia akili. Eti marekani anatoa sana misaada, ANACHOTOA NI KIDOGO SANA UKILINGANISHA NA ANACHOIBA.Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi.
Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi ni wacha Mungu, sio kama ambavyo huwa mnaaminishana, tena wana uhuru wa kuabudu tofauti na baadhi ya mataifa yakiwemo yale ya waarabu ambapo asiye wa dini yao unapitia mateso makubwa.
Japo Marekani hukera kwenye suala la ushoga lakini kwa mengine wako vizuri sana, wengi hata ambao mnajifanya kuwachukia huwa mnapambana kutafuta visa au greencard mkaishi huko, vikishindikana ndio mnabwatuka "Death to America".
Huyo ni Kiazi Mbatata wa KumpuuzaWe jamaa sijui utakua lini? Umeshindwa kabisa kutumia akili. Eti marekani anatoa sana misaada, ANACHOTOA NI KIDOGO SANA NA ANACHOIBA.
Eti anatumia sana kwenye defense wakati kwenye mapigano one to one na Russia hawezi
Usisahau kuna utajiri wa kutoa kafara a. k. a utajiri wa nguvu za giza na mwisho wake unajulikana.Aliyebarikiwa na Mungu mwanadamu hawezi kumlaani. Atakuwa juu siku zote mpaka pale Mungu atakapoamua mwenyewe kumrudisha chini.
Marekani ni taifa tajiri sana acha keleleWazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi.
Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi ni wacha Mungu, sio kama ambavyo huwa mnaaminishana, tena wana uhuru wa kuabudu tofauti na baadhi ya mataifa yakiwemo yale ya waarabu ambapo asiye wa dini yao unapitia mateso makubwa.
Japo Marekani hukera kwenye suala la ushoga lakini kwa mengine wako vizuri sana, wengi hata ambao mnajifanya kuwachukia huwa mnapambana kutafuta visa au greencard mkaishi huko, vikishindikana ndio mnabwatuka "Death to America".
wazee wa namba aka wa magharibiMarekani ni taifa tajiri sana acha kelele
💯🤝Huyo ni Kiazi Mbatata wa Kumpuuza
We kubwa jinga hata kama ndo mahaba yako yamepitiliza,,misaada yenyewe si ndo hii wanayotupa kwa masharti tufilahne wanaume kwa wanaume au kuna mingine??mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi ni wacha Mungu,
We jamaa sijui utakua lini? Umeshindwa kabisa kutumia akili. Eti marekani anatoa sana misaada, ANACHOTOA NI KIDOGO SANA UKILINGANISHA NA ANACHOIBA.
Eti anatumia sana kwenye defense wakati kwenye mapigano one to one na Russia hawezi
Unafurahia kuletewa condoms wakati huyo huyo ndio aliyetengeneza virus vya AIDS. wewe ni jinga sana.Hehehe! Sasa hapo mjinga ni nani, mbona uibiwe.....mnawategemea mpaka kwenye condoms na dawa za kupunguza makali ya VVU.
Unafurahia kuletewa condoms wakati huyo huyo ndio aliyetengeneza virus vya AIDS. wewe ni jinga sana.
Kama anakuibia basi wewe ni fala, maana hauoni thamani ya hicho unachoibiwa halafu unaona ufahari kujitangaza kila siku kuwa unaibiwa. Kuna kitu US kachukua bila ya ridhaa yenu?We jamaa sijui utakua lini? Umeshindwa kabisa kutumia akili. Eti marekani anatoa sana misaada, ANACHOTOA NI KIDOGO SANA UKILINGANISHA NA ANACHOIBA.
Eti anatumia sana kwenye defense wakati kwenye mapigano one to one na Russia hawezi
Hilo limelaaniwa na sio kubarikiwa 🤔Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi.
Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile wanaongoza kwenye kutoa misaada duniani, hivyo wanabarikiwa sana, pia mkija kwenye masuala ya imani, wengi ni wacha Mungu, sio kama ambavyo huwa mnaaminishana, tena wana uhuru wa kuabudu tofauti na baadhi ya mataifa yakiwemo yale ya waarabu ambapo asiye wa dini yao unapitia mateso makubwa.
Japo Marekani hukera kwenye suala la ushoga lakini kwa mengine wako vizuri sana, wengi hata ambao mnajifanya kuwachukia huwa mnapambana kutafuta visa au greencard mkaishi huko, vikishindikana ndio mnabwatuka "Death to America".
Mungu wa kweli harusu ushoga,, ndo maana nakwambia siku hizi unakuwa mwehu kubwa jingaMnawalaani siku zote ila ndio wanazidi kunemeeka, wao wanamuabudu Mungu wa kweli....