Habari zenu,
Naomba mnisaidie dua inayotumiwa na bunge la Tanzania kabla ya kuanza vikao vyake.
Mkuu.Una maana ile sara ya kujaliwa kusema uongo bila wa-TZ kugundua? Nakutafutia maana najua iko ktk vitabu.
Nimejaribu kutafuta Dua kabla ya kuanza Bunge la Tanzania, nimekosa. Kuna aliyenayo anisaidie?? Nimeisikiliza leo 16/11/2011wakata mwenyekuti Janet Muhagama akiisoma! Hivi kweli hiyo DUA wabunge wa CCM wanamuomba MUNGU MWENYEWE??!!!!!!!
Au waliiweka kutudanganya WATANZANIA??? AU NI SALA YA KUMKASHIFU MWENYEZI MUNGU. Wanachokiomba Mungu awasaidie, kwaiyo Mungu anakataa kuwasaidia ndo maana yake WANAZIDI KUSEMA UWONGO, KUKEJELI WABUNGE WA UPINZANI, NA KUSHINDWA KUWA UPANDE WA WANANCHI WALIOWACHAGUA NA KULALIA UPANDE WA CCM KWA HOJA NA MISWADA ISIYOWASAIDIA WANANCHI! NANI HAPA ATASABABISHA UMWAGAJI DAMU KAMA SIYO CCM AMBAYO MAJESHI YOTE YAPO CHINI YAKE??,NA KUTETEA CHAMA BADALA YA WANANCHI.