Du nilijua nimeua

uck ivi-usiku hivi
magetoni-getoni
ivi-hivi
apa-hapa
fullsana-fursana
iana-hiana
koni-corn
umoumo-humo humo
uchumvini-chumvini
izo-hizo
dodoma-Dodoma
apa-hapa
twn-town
mtto-mtoto
naisi-nahisi.


Tumia lugha kwa ufanisi

Aisee, lakini si ulielewa mkuu, alikuwa anajaribu kuandika kwa kifupi tu.

Hakuna haja ya kumkosoa
 
Umekutana nae stand siku hiyo hiyo na chumvini ukazama? ??? Kweli unahitaji tuzo ya ujasiri na kujitoa muhanga.

Kwani kwa kesho yake ndo asingepata ngoma? acheni kujidanganya
 

aiseeeh kweli Kazitunayo
 
Last edited by a moderator:
duh kazi ipo. ukimwi hautakaa uishe kabisa
 

Mambo yote hayo na mmeokotana barabarani? Your health is a potential/Valuable Asset,take care
 
uck ivi-usiku hivi
magetoni-getoni
ivi-hivi
apa-hapa
fullsana-fursana
iana-hiana
koni-corn
umoumo-humo humo
uchumvini-chumvini
izo-hizo
dodoma-Dodoma
apa-hapa
twn-town
mtto-mtoto
naisi-nahisi.


Tumia lugha kwa ufanisi
Nimeipenda hii ya Mzee Kifimbo Cheza
 
Kuna jamaa yangu anasema yeye halambi kithimi bali anaking'atang'ata!
Vipi show ilikuwa ya Makhirikhiri nini! mpaka mtoto kazima!
 
Una elim gani na unafanya kazi gani?
 
pending & loading......................................................................................................
 
nahisi atakua changudoa sio mwanafunzi huyo. hiyo ni style mpya mfano hapa DSM wengi washona sana sare za jangwani ukiingia kichwakichwa unajua dent kumbe changu.
pole mkuu.
 
Najua unajifunza kutunga story,ila ukweli ni kwamba kama huna elimu rudi shule ukasome hii fani huiwezi
 

Punguzaga mbwembwe!
 
INNOVATOR, this is unmistakeable material for adult forum!
 
Last edited by a moderator:
acha umalaya kaka utakufa...furaha ni ya dakika tu ila ina majuto ya miaka
 
Jamaa linakaa kikuyu Si linasoma st john
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…