du!hii sasa kali!

habar zenu! mwaka wa pili huu natafta kazi cjapata! nimeaapply kazi nyingi mno jaman!magazet nimenunua mpaka hela imeniishia hata interview pia siitwi!! hapo vp ntajipa matumaini ya kupata?msaada wenu jaman! bachelor of business admin
Magazeti gani unayosoma mkuu, yasijekuwa yale ya pale Bamaga nyuma ya Petrol Station?

Kama ni mwananchi, The CITIZEN, Daily News, hata hapa jamii forum mbona kazi profession yako zinatoka kila leo na watu wanapata mkuu?
 
pole jmn. fikiria juu ya ujasiriamali kwa mtaji mdogo. kuwa tiyari kujituma kuelekea mafanikio. tembelea business forum kuna maujanja mengi kule.
 
habar zenu! mwaka wa pili huu natafta kazi cjapata! nimeaapply kazi nyingi mno jaman!magazet nimenunua mpaka hela imeniishia hata interview pia siitwi!! hapo vp ntajipa matumaini ya kupata?msaada wenu jaman! bachelor of business
admin
Karibu kiumen.....wenzio wana miaka minne sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…