Du! Hata Huku Mmefika? Kweli CCM wajipange

Du! Hata Huku Mmefika? Kweli CCM wajipange

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,028
Reaction score
650
Nimekutana na Bendera ya CDM Mbeya-Tukuyu-Vijijini kwenye jimbo la Mwakyusa
 

Attachments

  • 1430741339609.jpg
    1430741339609.jpg
    43.6 KB · Views: 2,246
Kama maji, usipoyaoga utayanywa!
 
Chadema kote tumefika....kwanza huko vijijini tumepunguza sana kura za CCM.., ambayo imekuwa ikijitapa kuwa ina wanachama wengi huko...
 
hiki ni chama cha nchi nzima ndo maana hata huko wapo!
 
revorution time from embazzlement is this
 
Tukuyu kuna nyumba za aina hiyo! Sidhani kama ni Tukuyu hiyo.
 
Tukuyu kuna nyumba za aina hiyo! Sidhani kama ni Tukuyu hiyo.

hapa Tukuyu kijiji kimoja kinaitwa katusyo, hapa ni sehemu ya public yaani kuna vioksi, na vilabu vya pombe za kienyeji...
 

Hivi Kikwete akiona vibanda kama hivyo na kauli mbiu yake ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA anajisikiaje. Hakika kama ni mtu mwenye UTU rohoni mwako unaweza ukajinyonga kwa kuwadanganya wananchi.
 
Hivi Kikwete akiona vibanda kama hivyo na kauli mbiu yake ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA anajisikiaje. Hakika kama ni mtu mwenye UTU rohoni mwako unaweza ukajinyonga kwa kuwadanganya wananchi.

Mkuu hiyo roho unayo wewe lkn si kwa magamba
 
Kweli kuna umaskini mkubwa vijijini nyumba duni sana sijui kwanini serikali isipunguze vifaa vya ujenzi watu wajenge nyumba nzuri na bora maana hizo hata wadudu hatari kwa maisha ya binaadamu wanajificha.
 
Hivi Kikwete akiona vibanda kama hivyo na kauli mbiu yake ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA anajisikiaje. Hakika kama ni mtu mwenye UTU rohoni mwako unaweza ukajinyonga kwa kuwadanganya wananchi.

Tatizo ni watu kutafta madaraka ili waneemeshe matumbo yao bila kujali wananchi. Inasikitisha kweli kweli zaidi ya miaka hamsini ya Uhuru.
 
Back
Top Bottom