Dt ngorongoro ageuza mapato ya halmashauri kuwa kitega uchumi chake

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Wasalaam
Kwa habari za kiitelejensia kutoka ndani ya halmashauri ya wilaya ya ngorongoro yenye makao makuu katika mji mdogo wa waso,loliondo imebainika ya kwamba MHASIBU MKUU WA WILAYA HIYO anatumia baadhi ya vyanzo vya mapato vya wilaya hiyo kama mtaji wa kujilimbikizia mali. Habari hii lmethibitishwa na mmoja wa watumishi wa halmashauri hiyo walipotembelea vyanzo vya mapato vya wilaya hiyo na kukuta wakusanya ushuru wa geti la Engarasero wakikusanya ushuru bila ya ledger book na orodha ya watozwa ushuru
 
huku orodha ya watozwa ushuru mara zote imekuwa ikiandaliwa na MHASIBU MKUU WA WILAYA HIYO OFISINI KWAKE. katika kuhakikisha wanapata detail zaidi watumishi hao waliotembelea geti hilo waliuliza idadi ya watu na magari yaliyopita hapo getini jana yake lakini wahusika hawakuwa nazo na walijibu kuwa orodha yote uandaliwa katika ofisi ya Mhasibu wa wilaya wao wanapeleka fedha tu.

UFISADI HAUTAISHA NCHI HII
 
Back
Top Bottom