Watakaoweka local channels zote ni Startimes,Agape na Basic Transmission(cha Mengi na Sahara group ambacho bado hakijaanza) na hata hizo local channels sio zote
mfano DTV ipo startimes lakini watu wanalipia kwa sababu yenyewe inaruhusiwa kuonyeshwa DSM pekee so wa mikoani lazima walipie
Hizo dekoda nyingine wakiweka local channels basi ni option ila haiwalazimu!