Dstv ya BURE kupitia Vodacom! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dstv ya BURE kupitia Vodacom!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BabaDesi, Jun 25, 2011.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  simu yangu ni Nokia N95 8gb. Toka juzi najaribu kujiunga na ofa ya Dstv kupitia Vodacom ya kuona matangazo ya bure ya TV lakini kila ninapojaribu kujiunga napata maelezo ya 'Not enough Bandwidth'! Wataalamu, Hapo natakiwa kufanya nini?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,228
  Trophy Points: 280
  je unaweza tizama tv kwa simu yako kama huna muda wa maongezi? Voda ni matapeli, jihadhari.
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nimejaribu nikiwa na buku 2 za airtime lakini inaniambiat ya kutokuwa na bandwidth ya kutosha! Tatizo litakuwa ni nini?
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,228
  Trophy Points: 280
  weka vocha ya elfu kumi
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  WEKA 3G na sio 2G,Bandwidth ya 2G ni ndogo weka 3G(HSDPA)
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,804
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  sasa mkiskia online tv mwajua bureeeezzzz??????? Inakula net kama wataka kuuza sura kitaa bora unune hata cheka internet
   
 7. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  vodacom dstv mobile service ni bure.nenda kwenye settings-phone-network halafu badilisha kuwa umts.
   
 8. f

  freddlee New Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimejaribu kutumia dstv mobile ila nimekatwa kiasi kikubwa cha hela, nilipouliza customer care wakasema ni free kwa vile hutakiwi kulipa malipo ya mwezi au subscription fees, ila gharama nyingne zinakuwapo
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Hii huduma inatakiwa na inatangazwa kuwa ni bure, haitakiwi kula data bundle wala hela kwenye simu, ila inaelekea Voda wamechemsha au wanafanya makusudi kuwaibia watu hela inaenda kama kawaida.
   
 10. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  W i z i m t u p u !!
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,804
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  sio wizi huyo jamaa hapo hapo juu ameeleza ukweli kabisa, dstv mobile inalipiwa kwa mwezi hela hiyo unayolipa ni tofauti na bundle ya internet so kupitia voda hutalipa utalipa tu ya bundle.
   
 12. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  voda ni majambazi hakuna tofauti na majambazi wanaotumia silaha ya smg ningekuwa nakipato chakumlipa wakili ningewabuluza kotini
   
 13. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mpaka sasa nimejaribu hii huduma imegoma!
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Ukienda website yao wenyewe Vodacom Portal ukacheki DsTV FAQ

  Kwa kifupi hawa jamaa ni wezi, na tungekuwa nchi nyingine wangekuwa washachukuliwa hatua na vyombo husika, ila Bongo ili mradi liende.
   
 15. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Selikali imeshikiliwa na majambazi mafisadi nani atakumbuka kuwafatilia huu wizi unao fanyika huko voda
   
 16. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,804
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  hayaa wale wagumu mlokua hamtaki kutumia voda link hiyo nshaichakachua copini kwenye streming link muangalie na bundle ya mb400 airtel rtsp://196.28.65.226/diactus/movie.3gp?weUE9Qdy3GHWo2-5Tpic3b47H(i8afKugOTAdmjZcV1ljArP1641PQ7ee3h-yN20 manake dah wabongo kila kitu siasa hadi huku kwenye science
   
 17. alberaps

  alberaps JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  Thank u Very much! Hii haiitaji masimu makuuubwa!
   
Loading...