Tatizo hapa si mamlaka ya kodi TRA kushindwa kusimamia kodi bali watungaji washeria za nchi. Naomba kidogo nitoe uelewa wangu jinsi DSTV wanavyooperate in Tanzania na jinsi sheria zilivyokuwa na loopholes. DSTV wao wanatoa huduma kupitia digital systems ambazo zinasource matangazo toka South Africa and so nchini hapa wameweka mitambo inapokea matangazo ambapo hapo kampuni inayomiliki hiyo mitambo ni SUBSIDIARY wao ambayo ipo located along Ali Hasan Mwinyi Rd.
Ulipaji wa ankara za matumizi MTANZANIA anapofanya hua unalipwa moja kwa moja kwenye account ya Kampuni mama ambayo ina offshore accounts in Tanzania, na baada ya mwezi pesa hizo zinakuwa transfered to Accounts zao in South Africa na kuacha only 1% kwenye its subsidiary as commission for use of mitambo iliyokuwa located Tanzania.
Subsidiary wanapoicharge Parent Company hapo ndipo wanaweka VAT, wakati mteja wewe unakuwa billed na Parent Kampani moja kwa moja. Kuwa billed na parent kampani kwa sheria ya VAT hakumlazimishi parent kampani kuweka VAT mana ni kama MTANZANIA akiamua kuagiza vitu nje kupitia internet na akalipia kupitia BANK through TT lakini wao wamekuja na cover ya kuwa na offshore accounts in Tanzania.
Ndo mana ukienda nunua vifaa vya kuunganishwa kwa mara ya kwanza utachargiwa VAT only because vifaa ni mali ya Subsidiary Company. Kidogo wadau naomba nieleze kwann sheria zimetoa loophole nliyoitaja hapo JUU.
Companies Act 2002, inataka foreign companies zote zisajiliwe upya under laws za Tanzania, sasa ukisema hivyo ndo hapo sheria za kodi zinaposhindwa kuibana parent company mana sheria mama za makampuni haziitambui Parent Company only because haijasajiliwa Tanzania.
KAZI KWENU MNAOSEMA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI