DSTV wana ving'amuzi elfu 5 kwa mwezi

DSTV wana ving'amuzi elfu 5 kwa mwezi

Status
Not open for further replies.

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,590
Vinauzwa posta 48 elfu tu unatazama ligi zote maarufu na local zote
 
plz embu tufafanulie vizuri mkuu,na vinaitwaje?
 
wapi? malipo kwa mwezi yakoje? mbona husomeki!
 
Mkuu elezea vizuri,bado ujasomeka vizuri!
 
Ganja bana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Siunaona ni Jipu inamaana usaha unamsumbua!hakuna kitu kama hicho???
 
Last edited by a moderator:
nakumbukaga sana ile signature ya "miafrica ndivyo tulivyo"..sjui ni ya nan vile?
 
KakaKiiza;Siunaona ni Jipu, inamaana usaha unamsumbua!hakuna kitu kama hicho??.labda jipu uchungu ha ha ha!!
 
Huyu jipu ana bahati kuwa mimi si mod, angeshakuwa amekula ban saa hizi
 
Hata hapa maeneo ya airport kuna Posta!
 
Go tv atakuwa anaonelea inawezekana bando limekata msimlaumu bure..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom