wanachoshaa kabisa! nadhan niwakati wa ving'amuzi vyetu kuonyesha ligi ya uingereza... coz nao with AZAM na STARTIMES tunaona ligi za Spain ma Jerumani..tuachane na huu ukiritimba na unyonyaji wa Makaburu...
Wameniudhu sana... Hata mwaka haujaisha wamepandisha gharama zaidi ya mara nne..waliazna 148000, 169000, 199000, leo wamekuja na 219000..wizi kabisa huu
Kukosa kuangalia mpira (wa ligi ya Uingereza) hakuwezi kunifanya nipoteze maisha, naachana na DSTV rasmi. Hawa jamaa kweli ni wanyonyaji aisee. Hata sisi mishahara hatupandishiwi kwa namna wanavyodhani wao.
Shamba la bibi hili, wanatunyonya sana hawa jamaa
wanachoshaa kabisa! nadhan niwakati wa ving'amuzi vyetu kuonyesha ligi ya uingereza... coz nao with AZAM na STARTIMES tunaona ligi za Spain ma Jerumani..tuachane na huu ukiritimba na unyonyaji wa Makaburu...
Wameniudhu sana... Hata mwaka haujaisha wamepandisha gharama zaidi ya mara nne..waliazna 148000, 169000, 199000, leo wamekuja na 219000..wizi kabisa huu
Mi naona wako sahihi kabisa kwani wako kibiashara maana hata haya mabanda wanayoonesha mechi wamezidi yani siku hizi hata mechi ya kawaida tu ya Aston Villa vs West ham bila buku hawakuelewi sasa si bora tu na nyie mpandishiwe bei? tena wangefanya LAK 3