DSTV vS ZUKu

DSTV vS ZUKu

dstv babu lao, zuku magumashi ndo maana wameshusha bei
 
kamanda fanya uchunguzi, tembelea mwenye Zuku na Mwenye Dstv, kwangu Dstv iko poa zaidi ya nyingine zote zilizopo ingawa gharama zake zipo juu pia ikitegemea unalipia kufurushi gani
 
DSTV kama gharama zao utazimudu.
 
km una pesa za kutosha chukua dstv ila km pesa ya kawaida basi nenda azam tv achana na zuku
 
DSTV wapo level nyingine...

Zuku ipo kawaida sana...
 
Azama Tv inapatika Nchi nzima?

Ama kuna baadhi ya mikoa tu!
 
Kama ww ni mpenzi wa movies au mpira DStv inaboa sana, umeme ukicheza kidogo tu inaanza ku scan mpka imalize unakuta movie au mpira umeisha,
 
Back
Top Bottom