DSTV VS STARTIMES kipi bora?

Dstv ni mtambo usio na mpinzani, vipindi ni vingi mno na ni super, labda ushindwe ww tyuuu na mfuko wako
 
Dstv uwa ipo vizuri kaka.mi ni fundi uwa nafunga madishi yote najua.kwa msaada nitafute kwa namba 0745076270
 
Dstv sio ya kuifananisha. Ni pesa yako tu na kifurushi utakacho. Kwenye mvua siku hizi inapiga kwikwi dk moja hivi kisha ikizoea moto chini. Kwangu nimeweka madishi matatu juu mtu akipita upande wa nyuma ya nyumba anaweza sema ni space station. Azam, startimes na dstv. Dstv is the best.
Startimes kama azam imekushinda, nayo haikufai.
 
Nimeangalia picha ya mleta uzi...nikaelewa kwann kauliza swali hili



Mungu aniepushie mbali kizazi cha namna hii
 
usijali unachokitafuta utakipata!
 
Nimeangalia picha ya mleta uzi...nikaelewa kwann kauliza swali hili



Mungu aniepushie mbali kizazi cha namna hii
Sio picha tu hata id yake..... wanaume tunakoelekea itakua bidhaa adimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…