Dstv, tatizo ni nini leo?

Dstv, tatizo ni nini leo?

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
3,319
Reaction score
4,709
Wakuu habarini.

Nimetoka mihangaikoni leo narudi nyumbani naweka miguu juu ya kochi nachukua remort controller nawasha TV nakutana na message hii (chini) kuonyesha kuna tatizo mitambo ya DSTV leo. Ni masaa matatu sasa na sioni dalili za kuona chochote?

Nyie DSTV, kwahiyo Tshs. 109,000/= yangu imepotea bure?
1563811909048.jpeg
 
kama siyo Dstv potezea!!!...😡..Huo ujumbe hujawahi ambiwa kwani?
 
Chomoa waya wa umeme, wait a moment or so halafu chomeka.
 
Back
Top Bottom