mandevuclassic
Member
- Nov 23, 2013
- 83
- 121
Hakuna king'amuzi Bora Kama Dst Tanzania. 1900 nacheki ligue za italy,Spain mechi zote ,uefa baadhi ya mechi,Epl baadhi ya mechi. Hujanidanganya chochote kuhusu DstvKifurushi cha kuanzia 69000 ndo nafuu kwa michezo...ndg zangu kuna njia rahisi ya kuangalia mpira kwa bei nafuu zaidi bila ya kutumia DStv
-startimes unaangalia..ligi ya france,jerumani, ueropa league,ligi ya uholanzi, Ubeligiji kwa sh 19,000/=
- ligi ya England,hispania,uefa na seria A naangalia kwa kutumia live streaming.. laini ya halotel wanachuo 350mb- 500mb una uwezo wa kuangalia gemu moja..au wikendi nzima gb 3 kwa 3000/= ..ukitumia sana ni 5000/ kwa wiki hivyo kwa mwezi ni sh 20000
20000+19000= 39000...!
Unakuwa umesavu 40,000/= (wengine mna laini za chuo za tigo,voda na ttcl huko nako wanatoa mb nyingi tu)
Hakuna king'amuzi Bora Kama Dst Tanzania. 1900 nacheki ligue za italy,Spain mechi zote ,uefa baadhi ya mechi,Epl baadhi ya mechi. Hujanidanganya chochote kuhusu Dstv
Laini ya chuo za halotel zinapatikana kirahisi tu..voda nazo piaunadhani kila mtu ana laini ya chuo? wengine mpira mpka kwenye hd yake ya inchi 50. Uzi huu umekaa kichuo chuo zaidi
Laliga hata azama tv wanaonyesha...tatizo ni kwamba dstv ya 19000/= haikupi uhuru wa kuangalia kile unachotaka hasa upande wa epl,italy,uefa hata uefa nation leagueHakuna king'amuzi Bora Kama Dst Tanzania. 1900 nacheki ligue za italy,Spain mechi zote ,uefa baadhi ya mechi,Epl baadhi ya mechi. Hujanidanganya chochote kuhusu Dstv
Startimes nao wamezingua, walikuwa wanaonesha na Serie A ila msimu huu wamezingua hawaoneshiKifurushi cha kuanzia 69000 ndo nafuu kwa michezo...ndg zangu kuna njia rahisi ya kuangalia mpira kwa bei nafuu zaidi bila ya kutumia DStv
-startimes unaangalia..ligi ya france,jerumani, ueropa league,ligi ya uholanzi, Ubeligiji kwa sh 19,000/=
- ligi ya England,hispania,uefa na seria A naangalia kwa kutumia live streaming.. laini ya halotel wanachuo 350mb- 500mb una uwezo wa kuangalia gemu moja..au wikendi nzima gb 3 kwa 3000/= ..ukitumia sana ni 5000/ kwa wiki hivyo kwa mwezi ni sh 20000
20000+19000= 39000...!
Unakuwa umesavu 40,000/= (wengine mna laini za chuo za tigo,voda na ttcl huko nako wanatoa mb nyingi tu)
Hivi inch 50 Bei ganunadhani kila mtu ana laini ya chuo? wengine mpira mpka kwenye hd yake ya inchi 50. Uzi huu umekaa kichuo chuo zaidi
Nan kakwambia mpira wa peke yako kwenye kacm hm unanoga?Kifurushi cha kuanzia 69000 ndo nafuu kwa michezo...ndg zangu kuna njia rahisi ya kuangalia mpira kwa bei nafuu zaidi bila ya kutumia DStv
-startimes unaangalia..ligi ya france,jerumani, ueropa league,ligi ya uholanzi, Ubeligiji kwa sh 19,000/=
- ligi ya England,hispania,uefa na seria A naangalia kwa kutumia live streaming.. laini ya halotel wanachuo 350mb- 500mb una uwezo wa kuangalia gemu moja..au wikendi nzima gb 3 kwa 3000/= ..ukitumia sana ni 5000/ kwa wiki hivyo kwa mwezi ni sh 20000
20000+19000= 39000...!
Unakuwa umesavu 40,000/= (wengine mna laini za chuo za tigo,voda na ttcl huko nako wanatoa mb nyingi tu)
Unaenda mwezi huu kifurushi changu cha bomba wameniwekea superport3 sijui wana offer au vipi wabarikiwe kwakweli dstv moto hauzimi kweli [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Msimu huu startimes hakuna kitu kabisa tena hovyo sana hakuna Seria A hata hiyo Ueropa nation league hawaoneshi yani ni zaidi ya hovyo tena hovyoStartimes nao wamezingua, walikuwa wanaonesha na Serie A ila msimu huu wamezingua hawaoneshi
Umaskini wako pambana nao unazani nchi nzima tukiwa na laini za vyuo kodi itatoka wapi? Natumia Gb 24 kwa mwezi bila laini ya chuo kwa mambo yangu na Dstv nalipia premium, wewe kama huna uwezo kaa kimyaKifurushi cha kuanzia 69000 ndo nafuu kwa michezo...ndg zangu kuna njia rahisi ya kuangalia mpira kwa bei nafuu zaidi bila ya kutumia DStv
-startimes unaangalia..ligi ya france,jerumani, ueropa league,ligi ya uholanzi, Ubeligiji kwa sh 19,000/=
- ligi ya England,hispania,uefa na seria A naangalia kwa kutumia live streaming.. laini ya halotel wanachuo 350mb- 500mb una uwezo wa kuangalia gemu moja..au wikendi nzima gb 3 kwa 3000/= ..ukitumia sana ni 5000/ kwa wiki hivyo kwa mwezi ni sh 20000
20000+19000= 39000...!
Unakuwa umesavu 40,000/= (wengine mna laini za chuo za tigo,voda na ttcl huko nako wanatoa mb nyingi tu)
Voda napataje mkuu??Laini ya chuo za halotel zinapatikana kirahisi tu..voda nazo pia