Wadau wa teknolojia naomba ushauri wenu kwa hili kama lina wezekana
Jirani yetu ana tumia DSTV na anadai gharama kwa mwezi zimemzidi uzito, so ametuita majirani zake wawili akatuomba kama tupo interested atatuunganishia cable kutoka kwenye king'amuzi chake tupate mambo kwa minajili ya kusaidiana wakati wa malipo ya mwezi.
Changamoto inayo tukabili ni je inawezekana labda kufanya namna yoyote pengine hata kununua kifaa fulani kitakacho weza kufanya kila mmoja aka control chaneli atakayo kwa wakati wake na si yeye akiweka kipindi fulani basi wote mnalazimika kuangalia hicho
Huwa naona hii maneno kwenye mahotel, kila tv chumbani unabadili chaneli kama kawaida
Nawasilisha
Mkuu ina maana hii decorder itabidi kununua nyingine tena dstv?kuna decorder inaitwa dual view(PVR) itawapa contrlol users wawili
Dah.......... zoezi gumu sana hili mkuu, maana inabidi tununue tena decoder zingine,Itabidi wote mnunue decoder zinazoweza kufanya ExtraView, itabidi waya 3 zitoke dish hadi kwenye kila decoder, kisha decoder "master" iunganishwe na decoder zengine "slave" kwa kutumia waya mwingine, official limit ya waya huu ni meter 50, waya huu ukipoteza mawasiliano decoder "slave" zinaacha kuonyesha picha.
Na kuna fee inaongezeka kwa mwezi kama unataka ExtraView.
Mkuu swali ni je kinapatikana mitaani au lazima ukipate kwa wao wenyewe DSTV?Inawezekana. Kuna kifaa ( jina limenitoka) kinatumiwa na wale wanafanya biashara ya cable TV au kwenye mahoteli
Hili nalo neno mkuuJikune ujipatapo, kama DSTV imewashinda baki na ya mchina Star times
Jikune ujipatapo, kama DSTV imewashinda baki na ya mchina Star times
hiyo ni cable tv service ama hii hii dstv ya multichoice?Mikoani kama Dodoma Dstv bill ni shs 10,000 kwa mwezi.