DSTV rudisheni channel za local

Azam hawarudishi leo wala kesho ni baada ya miezi 7 wajenge tena mfumo wa kurushia matangazo. Sasa sijui sisi wenye madish yao watatuletea vingamuzi vingine vya kutumia antena za nje na ndani? Maana ndio mfumo unaotakiwa na TCRA.
 
Leseni inaruhusu antenna na dish kama startimes bro
Azam hawarudishi leo wala kesho ni baada ya miezi 7 wajenge tena mfumo wa kurushia matangazo. Sasa sijui sisi wenye madish yao watatuletea vingamuzi vingine vya kutumia antena za nje na ndani? Maana ndio mfumo unaotakiwa na TCRA.
 
Azam hawarudishi leo wala kesho ni baada ya miezi 7 wajenge tena mfumo wa kurushia matangazo. Sasa sijui sisi wenye madish yao watatuletea vingamuzi vingine vya kutumia antena za nje na ndani? Maana ndio mfumo unaotakiwa na TCRA.
ebu elezea zaidi huo mfumo wa miezi saba
 
Mkuu. Samaki mchanga. Leseni Azam tv wamepewa juzi tarehe 14. Ila kwa mujibu wa Mh waziri wa mawasiliano. Alisema Azam tv wataanza kurusha local chanel bure baada ya miezi 7 hivyo wateja wa Azam tv tuwe na subra.

nikawazatu mwenyewe. Kama wamepatiwa leseni. Kwanini serikali isingetumia busara wawa ruhusu Azam tv kurudisha matangazo hayo huku wakiendelea na mchakato wa kujenga mfumo uo ambao utachukua miezi 7?

Tafadhali serikali mtumie busara katika jambo hili. Hadha tunayoipata ni kubwa sana. CONTNENTAL DECORDER Ni majanga matupu kila siku wanakatika matangazo yanarudi baada ya mwezi 1 ni shida tupu.
 
Continental ting na startimes bora kipi kwa local?
 
Hata wasipoweka local chanell stil dstv hana mpinzani bongo....labda baadaee sanaa
 
Contnetal wako vizuri kwenye picha na sauti hata Ting. Ila tatizo la contnenta hawako siriazi na huduma zao kila siku no signal kurudi wiki mpaka mwezi sasa hivi wanakaribia mwezi hakuna huduma.

TING Wamejikita kuweka minara mjini ila kama unakaa nje ya mji hakuna netwek. Azam alikua mkombozi wetu sana. Kibaya hata habari kwenye Azam two nayo wakatoa. Duh tumekula tabu sana.
 
Nikinunua ting ya dish au startimes? Lengo langu local tu
 
DSTV untouchable...hata wasiporudisha local channel DSTV utamu wake hausimuliki wala sijauona king'amuzi kingine chochote.
 
Back
Top Bottom