DSTV rudisheni channel za local

DSTV rudisheni channel za local

Jamani naombeni msaada nini nifanye manake decorder yangu ya Dstv imepoteza signals Quality inasoma 1% na strength 1%. Naombeni mnisaidie jinsi ya kurudisha hizo signal
 
Dish limecheza bro angalia vzr mwanzo lilikuaje?
 
Kinachooneka ni kwamba TCRA ina ugomvi ba wateja wa DStv. Ukiwa na hela TCRA sio rafiki yako kabisa. Raha yai uwe na Ting ili uone TBCCM.
Huku DStv TBC1 inaonekana namba ngapi kwa waliowahi kuikamata?
 
Ukishaingiza maswala ya siasa basi huwezi tatua jambo lolote,hao ting star times digitek na continental wana leseni hiyo sasa azam nao kosa liko wapi?
 
Back
Top Bottom