nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 997
- 828
Mkuu unachotakiwa kujua ni usifananishe dstv na hao wengine kila kampuni na bei zake na huduma zake pia.
labda useme tu hiyo Bomba ya19,000 haina value for money?
Si unapata gharama ya kubadilisha uelekeo wa dish kila sikuEnzi zote za msoto wa Local channel nimekua natumia Azam Malawi. Napata channels zote Local za Azam Kwa Bei ndogo ya elfu 6 ya Tz. Ki ufupi nina Visimbuzi vitatu. DsTv, Azam na Star times.
Ninachofanya Ni Kugeuza Dish na kuweka Kingamuz ninachotaka.
Mfano: Mama yenu mdogo akinitembelea huwa namuwekea DsTV ili aangalie Kapuni, sijui na upuuzi gani wa Maisha Magic Bongo. Akisha ondoka, narudisha Azam kama kawaida napata ITV, Star Tv Clouds, Ch. 10, Wasafi, Etv, na Nyingine Kibao