Dstv plus super sport sasa ni bureee

Unapata full dstv, canal sat na arjazeera sport buureee pasipo malipo ya mwezi, unangoja nini jiunge sasa upate uhondo. Contact for more info.

ujio wako umekaa kimasivina sana mbona?

na mashaka ni pale unapo kimbilia kuwa watu wakutafute mkuu? mbona nashikwa na mashaka sana mkuu juu ya uwezo wako wa kukitenda kile ulichokiandika?
hembu ongeza japo hata vinyama kidogo kwenye thread yako basi mkuu
 
Hata mimi nina wasi wasi, ukichanganya na hii historia fupi hapa chini, ni mashaka kwenda mbele.

Join Date : 7th August 2013
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0​
 
Unapata full dstv, canal sat na
arjazeera sport buureee pasipo malipo ya mwezi, unangoja nini jiunge
sasa upate uhondo. Contact for more info.

ni pm tupeane dili
 
Unapata full dstv, canal sat na arjazeera sport buureee pasipo malipo ya mwezi, unangoja nini jiunge sasa upate uhondo. Contact for more info.

sasa si bora usingeposti.hapa dsm Lazima utakuwa unakalia kigogo kwa nyuma
 
Pia waweza like
 
Mtu pekee ninaeweza muamini ni Paje tuu! Wengine wezi tuu, kama huwezi kuweka detail , tangazo la nn? Share na wenzako kama huwezi jifungie chumban tumia!
 
Haya sio mambo ya G2 na G6 kweli? Kama ni hivyo mbona,kama umechelewa sana mkuu? Mbona hii kitu ilishajadiliwa sana humu? Watu wanasubiri tarehe 19 waanze kuhondomora makitu?!
 
Unajua hii proglam si ya kuisambaza kivile ni siri kati yangu na mteja ndo maana sijaweka contact waweza nipata kupitia email mstechelectronics@gmail.com
sikia wewe jamii forum ndio kila kitu achana na mambo ya email hapa. kama technologia yako ni biashara basi ungetakiwa kuja hapa https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/
hapa ni mambo ya kujifunza na mambo ya technology na mwenye idea zake huziweka hapa ili tuzichanganue, unaweza kukuta idea yako ina kasoro basi tukairekebisha hapa hapa. Moderator please usiruhusu mambo ya email hapa futa hii kitu kama ni mambo ya dongle basi angeunganisha na ule uzi alioanzisha paje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…