Pure Moods
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,252
- 5,381
Ni kweli kabisa Mkuu.Kama mimi, ila kuna vitu vingi sana vya kuelimisha DSTV
Ni kweli kabisa Mkuu.Kama mimi, ila kuna vitu vingi sana vya kuelimisha DSTV
Kabisa Mkuu.Mimi huu mwaka wa 15 sijawahi kupata usumbufu wowote. Mtoa mada nadhani amerukia kitu ambacho hana uwezo nacho ukilipa kwa wakati huwezi pata usumbufu