upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,086
- 4,521
Pole bro,hii nchi hii kha!Nenda Daslamu upeleke hicho kidude..Hawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?
Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
