DStv ni wezi wakubwa!

DStv ni wezi wakubwa!

Hawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?

Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee kumbe na mimi nisinunue DsTv . Man nipo kwenye mpango wa kununua hapa, Mana sina uwezo wa kununua kila mwezi hicho kifurushi neno mambo yanakwendaje uko Dstv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na tatizo la king’amuzi chako
Ving’amuzi vingi sana kuna muda vinaexpire

Dstv tatizo lao lipo kwenye kulipia tu’ kifurushi kikiisha ukakaa muda kuja kulipia tena hakuna auto channel updates mpaka uwapigie simu mara toa kadi mara sijui weka namba gani Sijui

Vinasumbua sana ila naona atleast dstv is the best
Hata wewe nipe mrejesho full kuhusu Dstv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa umeandika utafikiri hiyo dstv unamiliki wewe mwenyewe hapa duniani.Matatizo yako binafsi unataka kutuaminisha ionekane ni tatizo kubwa sana wakati vitu vingine ni mambo madogo madogo tu yakawaida yakiufundi.Kama uliambiwa ufike ofisini kwao wewe unadhani umeambiwa uende Dar toka mwanza hadi hapo inaonyesha tatizo ni wewe mwenyewe.
 
Mzee kumbe na mimi nisinunue DsTv . Man nipo kwenye mpango wa kununua hapa, Mana sina uwezo wa kununua kila mwezi hicho kifurushi neno mambo yanakwendaje uko Dstv

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mpinzani wa DStv labda ushindwe gharama zake. Hii ya mtoa mada sio experience ya kila mtu kuhusu DStv. It's an isolated incident
 
Mmmmh nina wasiwasi na kilichoandikwa hapa. Binafsi nimewahi tatua shida ya king'amuzi ambacho hakijalipiwa muda mrefu kwa njia ya simu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?

Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwaka wa kumi sasa nipo na DSTV, nilibadilisha tu nipate chenye mfumo wa HD ndipo nilifika ofisini kwao. Zaidi ya hapo sijawahi kupata usumbufu wala shida yoyote na sina wala sitakaa niwe na king'amuzi kingine chochote kile!

Ving'amuzi vitatu? Basi shida ni ya kwako, siyo DSTV.
 
Mkuu hiyo ofa ni kwa wateja wa zamani walio active, na si kwa ajili ya wateja wapya na wasiolipia ving'amuzi vyao kwa muda mrefu - hii ni kwa mujibu wa maelezo yao.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Ni wezi tu mimi ni mkongwe Dstv nimelipa kabla kama tangazo lao linavyosema ila hyo upgrade hawajafanya na kutuma comments kwenye mitandao yao ya kijamii kama insta wamezuia comments na ndio ilikuwa unapata msaada kwa haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?

Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ofisi zao pale raundi about ya samaki next to jengo la tanesco
 
Series mpya ya Air crash investigation imeanza. Sasa hivi ni episode kama ya tatu. Thursday at 2100
Aisee mbali na mpira hiki ni moja kati ya vipindi vinavyonifanya nisiache kulipia kifurushi changu cha Dstv.

World of Champions
 
Back
Top Bottom