DStv ni wezi wakubwa!

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,989
4,129
Hawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi Oysterbay Dar!!

Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.

Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?

Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nishakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.

Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado TCRA hawa na Mitandao ya cm vimewashinda
Azam unayo izungumzia ingia uone majanga yake
Nyumba usio lala...
 
Inategemea na tatizo la king’amuzi chako
Ving’amuzi vingi sana kuna muda vinaexpire

Dstv tatizo lao lipo kwenye kulipia tu’ kifurushi kikiisha ukakaa muda kuja kulipia tena hakuna auto channel updates mpaka uwapigie simu mara toa kadi mara sijui weka namba gani Sijui

Vinasumbua sana ila naona atleast dstv is the best
 
Afadhali mara elfu startimes.
 
Ili rkho isikuume sana tumia dish lao kwa king'amuzi cha Azam. King'amuzi cha azam kipya bila dish ni 105,000
Hawa jamaa ukipata shida yoyote na king'amuzi chao wanakuambia ufike kwenye ofisi zao, yaani mimi nitoke Mwanza nipeleke king'amuzi oysterbay Dar, huu si ungese!!
Halafu wizi wao mwingine kama hujakilipia king'amuzi chao kwa muda mrefu wanakizima kabisa, na kukiwasha wanakwambia lipia package kabisa, na ukilipia ndo wanakuambia king'amuzi chako hujakilipia muda mrefu hebu fika nacho hiko kisimbuzi ofisini.
Hivi mnashindwa kufanya auto update na visimbuzi vyenu?

Kwa kweli mmenichosha sana, nishanunua vitatu sasa, viwili vimeshakufa na hiki cha mwisho kinazingua kuwaka, wakati nshakilipia. Na kisipowaka hiki, ndo na dishi nalibadilisha uelekeo kabisa nanunua Azam kiroho safi.
Nilikuwa nawatetea sana hawa jamaa kumbe wana upuuzi mwingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumia DSTV mwaka wa nne sasa na sijawahi kupata shida yoyote, kwangu nawarate Dstv kama king'amuzi bora kabisa.

World of champions

Miaka 12 sasa na viwili vimeshaharibika na mara zote imenibidi kununua decoder mpya.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sema kuna ofa wametoa ya kijanja sana ukilipa kuanzia tarehe 15 mwez wa kwanza unapanda kifurushi cha juu yake ni ukajanja had mudaa huu kwangu hola
 
Sema kuna ofa wametoa ya kijanja sana ukilipa kuanzia tarehe 15 mwez wa kwanza unapanda kifurushi cha juu yake ni ukajanja had mudaa huu kwangu hola
Mkuu hiyo ofa ni kwa wateja wa zamani walio active, na si kwa ajili ya wateja wapya na wasiolipia ving'amuzi vyao kwa muda mrefu - hii ni kwa mujibu wa maelezo yao.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Sema kuna ofa wametoa ya kijanja sana ukilipa kuanzia tarehe 15 mwez wa kwanza unapanda kifurushi cha juu yake ni ukajanja had mudaa huu kwangu hola
Unaweza kuwasiliana nao na kama umekidhi vigezo watakuunganisha kifurushi cha juu.
 
Vipi kuhusu kuangalia local channels wamefikia wapi kwani kila nikiwapigia wanasema ni suala la kisheria sasa hakuna time limit nadhani kwao mteja si mfalme.
 
Mimi nimetumia dstv tangu 2006 nshanunua vitatu hadi sasa ila kimebaki kimoja tu, na hiko kimoja nishawahi kukipeleka osterbay ofisini kwao wakanilipisha dola 25 kubadilisha kifaa mule, wapumbavu sana, mi mbona naenda azam, sijaona kule watu wakilalamika
Natumia DSTV mwaka wa nne sasa na sijawahi kupata shida yoyote, kwangu nawarate Dstv kama king'amuzi bora kabisa.

World of champions

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom