KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Kampuni ya Mult choice Tanzania, inayoendesha ving'amuzi vya Dstv imekuwa ikilalamikiwa na wananchi kwa kuwanyonya watanzania kwa kuwalipisha gharama kubwa za kuweza kuona hivyo ving'amuzi vyao kutokana na kuwa na bei kubwa kuliko.
Hivyo ni kuiomba serikali iingilie kati maana inaonesha wamekuwa na nguvu kuliko Serikali kiasi kwamba hata hizo channel za ndani ya nchi huwa azionyweshi bure!
Tunaiomba serikali ilete wawekezaji wengine katika tasnia hii makampuni ni mengi yanaweza kuwekeza kwa gharama nafuu.
Hivyo niwaombe wahusika serikalini kufuatilia hili!