Hakimbii mtu hapa!Hadi nchi muikimbie
Kimeumana
51,000/-Compact itakuwa sh ngapi?
Tunawaacha tunakwenda AZAM
51,000Compact itakuwa sh ngapi?
Vifurushi vya data kwenye simu wamesitisha zoezi dakika za mwisho
Imeongezeka buku 3, wastani wa elfu 36,000 kwa mwaka...Ni hatari
Mama anapima kima cha maji, wenye makampuni ya simu walifanya Preemptying kubwa mama akaogopa, nasikia mkakati utakaofuata ni vifurushi kubadilishwa ghafla lakini kimya kimya.Vifurushi vya data kwenye simu wamesitisha zoezi dakika za mwisho