Dstv mnashindwa kutuonyesha euro 2016 kwenye kifurushi cha family?

karugila

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
1,275
684
Jamani tumelipia bacrays premium league imeisha yote mpaka uefa champion lakini mnashindwa kutuonyesha euro 2016 kwenye kifurushi cha family?.angalau tupumzike wakati tunazikusanya za msimu hujao.jitahidi mliangalie hili.
 
Siku hizi wanajifanya kukupigia eti"king'amuzi chako kiliisha ela tangu tar..."
Mbona hawana hata uteja wakakupa wiki angalau huku unajipanga
 
Natafuta programme inaitwa extreme engineering siioni siku hizi iko channel gani walikuwa wanaionyesha kwenye discovery world nayo siioni siku hizi,mwenye kufahamu
 
kifurushi bomba cha 23,500 u naangalia kupitia channel za select au KTN ya Kenya wanaonyesha tangu Jana
 
Back
Top Bottom