Kwetu-Mbagala
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 203
- 39
Hii ni aibu!Kwa muda mrefu sasa, ukiangalia taarifa za michezo ktk king'amuzi cha DSTv, kuhusu ligi kuu Tz, msimamo wao wa ligi unaonyesha kuwa Simba inaongoza ligi kwa pointi 49, na AFC ni ya mwisho ina pointi 12! Taarifa hii ina karibu miaka 2 ktk king'amuzi chao na jamaa hawataki ku-update.Hii sijui maana yake nini?Jamaa hawajitambui?wamejisahau?ligi yetu imewaboa?au....?