DStv kwenye ipad

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Heshima wakubwa, Naomba kufahamishWaa ni Jinsi gani naweza kupata huduma za dstv mobile wanazotoa vodacom,kwenye iPad. Nimejaribu inaniambia device not supported!
Heshima mbele.
 
Heshima wakubwa, Naomba kufahamishWaa ni Jinsi gani naweza kupata huduma za dstv mobile wanazotoa vodacom,kwenye iPad. Nimejaribu inaniambia device not supported!
Heshima mbele.

Amoeba
not kila i pad inaweza ku access dstv unless hyo i pad iwe ina uwezo wa 3g.

Xo ww i pad yako ina spec kama hyo?
 
Last edited by a moderator:
cheki kama iko connect voda internet na chengine je haisumbui kwenye stream video pia usisahau kui update hiyo streamline player..

Kaka naona unanipeleka taratiiibu kama mtoto wa primary school! Hizo basics nazifahamu, TIRIRIKA; Ni jinsi gani nifanye ili niweze kupata Dstv mobile kwenye iPad!
 
Back
Top Bottom