Dstv Kuonesha Championship, Carabao Cup....

Siku utakaposikia Azam wanaonyesha EPL. Ujue kifurushi Kutakuwa elfu 50.
Vifurushi vya Dstv vitapunguzwa bei kuanzia Septemba 1/2019 kama inavyoomekana. Kwahiyo ni mwendo wa kuserereka tu! Kama sio Dstv chomoa betri!
 
Hata kama una Azam au kisimbuzi chochote unaweza kuangalia Championship (EFL) kupitia FOX SPORTS 1&2.
.
Msitishike wadau DSTV tupa kule hilo nunua weka sehemu ya biashara not home, bei ya kifurushi inazidi bei ya kukinunua chenyewe ujinga gani huo
Umemaliza kilakitu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…