Dstv Kuonesha Championship, Carabao Cup....

Ni hatari tupu mzee

Sijui kwa nn wakipanda ligi wanaanza kuzngua
Nafikiri wengi ni sababu ya uzoefu, kuna team zingine zinakiwasha hata kama ndo zimepanda daraja πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanaendeleza mambo ya kukaba harufu mpaka EPL πŸ’ͺπŸ’ͺ
 
DSTV IS THE BEST. SEMA NYIE WA USWAHILIN HAMWEZI KUIELEWA.

Hata kama una Azam au kisimbuzi chochote unaweza kuangalia Championship (EFL) kupitia FOX SPORTS 1&2.
.
Msitishike wadau DSTV tupa kule hilo nunua weka sehemu ya biashara not home, bei ya kifurushi inazidi bei ya kukinunua chenyewe ujinga gani huo
 
Waifanye SS10 iwe HD
 
Siku utakaposikia Azam wanaonyesha EPL. Ujue kifurushi Kutakuwa elfu 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…